- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Kupigia Kura Maajabu Saba ya Dunia barani Afrika

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Afrika Kusini, Botswana, Kenya, Madagaska, Naijeria, Somalia, Tanzania, Ushelisheli, Zambia, Zimbabwe, Harakati za Mtandaoni, Mazingira, Safari, Uandishi wa Habari za Kiraia, Upiga Picha

Shindano la kila mwaka limezinduliwa kwa ajili ya watu kupiga kura kuchagua maajabu saba yaliyo bora zaidi barani Afrika, na upigaji kura umeshaanza [1]. Shindano hili limeratibiwa kwa juhudi za watu wa kawaida ulimwenguni kote walioanzisha Maajabu Saba ya Dunia [2] na kwa sasa wanahusisha tovuti 12 kutoka barani kote.

Fahamu orodha fupi ya washiriki na hata washindani walipendekezwa lakini hawakubahatika kuingia katika hatua ya kupigiwa kura mwaka huu.

Delta ya Okavango Delta, Botswana

Article printed from Global Voices in Swahili: https://sw.globalvoices.org

URL to article: https://sw.globalvoices.org/2012/12/kupigia-kura-maajabu-saba-ya-dunia-barani-afrika/

URLs in this post:

[1] umeshaanza: http://sevennaturalwonders.org/category/africa/

[2] Maajabu Saba ya Dunia: http://sevennaturalwonders.org

Haki Miliki ya Creative Commons 3.0 - Haki Kadhaa Zimehifadhiwa: https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/