GlobalVoices katika

Kenya: Kufundisha Uvumilivu wa Kikabila Kupitia Hadithi za Sayansi

TafsiriMakala hii inapatikana pia katika:

Français · Kenya : La tolérance ethnique enseignée par la science fiction
Español · Kenia: Enseñando tolerancia ética a través de ciencia ficción
Ελληνικά · Κένυα: Διδάσκοντας τη φυλετική ανεκτικότητα μέσω της επιστημονικής φαντασίας
Português · Quênia: Aprendendo sobre tolerância étnica através da ficção científica
English · Kenya: Teaching Ethnic Tolerance Through Science Fiction

Watoto wa Kenya wanafundishwa uvumilivu wa kikabila kupitia hadithi za sayansi: “Kushambuliwa kwa akina Shida:Bunduki za AKA Zaokoa Sayari” ni hadithi inayozungumzia maisha ya jamii tatu zilizoishi katika jangwa katika mji fulani ambazo zilitegemea kisima kupata maji. Lakini wenyeji wanatishika pale wanapogundua kuwa maji wanayoyategemea yanamwagwa kimiujiza usiku.”

“Watoto watatu katika mji huo wanagundua kuwa wanazo nguvu maalumu kwa kuwa waneweza kuwaona na kuwasikia wezi wa maji wasioonekana uwezo unaosababisha matatizo mengine mengi katika jamii hizo tatu. Bado hata hivyo hakuna anayeamini wanachokisema watoto hao, kwa sababu watoto hao watatu pekeyao wanazo nguvu maalumu za usawa na uvumilivu zinaowawezesha kuona kile ambacho jamii zao haziwezi kukiona. Je, watoto hawa wanaweza kuwazuia wavamizi kabla vita haijalipuka mjini?”

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Taratibu

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.


Sehemu za Dunia

Nchi

Lugha