- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

China Inaelekea Wapi kwa Mwaka 2013?

Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uchumi na Biashara

Kadri mwaka wa 2012 unavyosogea karibu, jarida la CHINA DIGITAL TIMES limetoa muhtasari [1] wa mabadiliko na changamoto zinazoikabili China mwaka 2013 kwa kutumia taarifa na bashiri mbalimbali za vyombo vya habari.