- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Dunia Iwatetee Wanablogu Raia wa Vietnam Waliofungwa Gerezani

Mada za Habari: Asia Mashariki, Vietnam, Haki za Binadamu, Harakati za Mtandaoni, Maandamano, Sheria, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Uhuru wa Kujieleza, GV Utetezi

nguyen_hoangvi [1]

Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali

Suala la [1] Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Udhalimu wa Watawala hapo kesho tarehe 23 Novemba.