Jing Gao kutoka blogu ya Tofu anaeleza namna serikali ya Fuji ilivyo na mikakati michafu dhidi ya Yunnan na jinsi inavyochukua hatua za kuzuia uchapishaji wa habari zinazoweka wazi kashfa za ufisadi zinazomkabili afisa mmoja wa serikali.
China: Hatua za Kubana Uhuru wa Habari Majimboni
· Imeandikwa na Oiwan Lam Imetafsiriwa na Mghosya
Mada za Habari: Asia Mashariki, China, Siasa, Uandishi wa Habari za Kiraia, Utawala, Vyombo na Uandishi wa Habari